FADEMO
FADEMO
Family Development Motivators
fademo.co.tz Home Page

Kuhusu FADEMO

Tunajenga familia imara za kiuchumi kupitia maarifa, hifadhi ya jamii na miradi chanya ya maendeleo.

Utambulisho

FADEMO ni kifupisho cha Family Development Motivators, jina linalotumika kwenye shughuli zote za biashara na huduma zinazoratibiwa na FADEMO na makampuni yake tanzu.

Dira (Vision)

Kuwa Kampuni kubwa Tanzania inayotoa huduma bora za kujenga Familia zenye uchumi imara na hatimaye Taifa lenye uchumi imara.

Utume (Mission)

Kutoa taarifa na maarifa ya elimu ya kifedha, uchumi na maendeleo; kusimamia Mfuko wa Jamii unaotoa mafao bora; pamoja na elimu ya afya, mazingira na masuala ya kijamii.

Tunu Zetu (Core Values)
  • Kuweka mbele Maslahi ya Wateja (Customer Focus)
  • Uadilifu (Integrity)
  • Weledi Mkubwa (Professionalism)
  • Uaminifu (Trustworthy)
  • Ushirikiano na Jamii (Social Unity)
  • Mshikamano (Solidarity)
  • Uwazi (Transparency)
Huduma na Makampuni
  • Mfuko wa Jamii wa FADEMO (FADEMO Social Fund Trust Tanzania)
  • FADEMO School of Blockchain Ltd
  • FADEMO Books Publishing Ltd
  • FADEMO Blogs & News (Fademo Newsmedia)
  • FADEMO Online Television Ltd
  • FADEMO Building & Constructions Ltd
  • FADEMO Electrical Installations Ltd
  • Miradi: “Mchwa ni Adui wa Nyumba”, “Familia ni Afya Imara”
Mfuko wa Jamii wa FADEMO

Mfuko huu unalenga kuwawezesha wanachama wake kukabiliana na majanga pamoja na changamoto za kiuchumi zinazowakabili wajasiriamali wengi kwa sababu uzee, magonjwa magonjwa makubwa, vifo vya wakuu wa familia, majanga ya asili majanga ya kiuchumi na kijamii ambayo huweza kuepukwa kama tu kuna mfumo rasmi wa kuwakinga na majanga hayo.

Lengo kuu la Mfuko wa Jamii wa FADEMO

Kutoa mafao makubwa ya kukabiliana na majanga ya kijamii na kiuchumi wanachama kwa wajasiriamali wote ambao hawana Mfumo rasmi wa Hifadhi ya Jamii unaowakinga na majanga ya kiuchumi.

Mafao ya Muda Mrefu
  • Kiinua Mgongo
  • Pensheni Uzeeni
  • Watoto Yatima
  • Pensheni ya Mjane
  • Kusomesha Mtoto Shule
Mafao ya Muda Mfupi
  • Uzazi
  • Matibabu
  • Msaada wa Mazishi
  • Msiba Nyumbani Kwako
  • Msaada wa Ujenzi wa Nyumba
  • Majanga (moto, mafuriko, tetemeko)
  • Kujitoa (Withdrawal Benefits)
Makao Makuu & Mawasiliano
Ofisi

Mtaa wa Ujiji/Tabora, Jijini Dodoma (Kata ya Viwandani),
Katika Jengo la Mkamba Uhindini.

Mkurugenzi Mtendaji

FADEMO GROUP LIMITED,
S.L.P. 49, DODOMA

Simu
0767 285 417 · 0768 201 749 · 0743 753 799
0762 812 271 · 0678 207 631 · 0762 170 509
Barua Pepe
info@fademo.co.tz
Tovuti & Mitandao
www.fademo.co.tz · YouTube: FademoOnline TV
Facebook / Instagram / TikTok: (inapatikana)